Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko leo Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini.
Endapo atafanikiwa kupitishwa na CCM na kufanikiwa kushinda uchaguzi, hii itakuwa ni mara ya pili kuongoza jimbo hilo...