Wakuu,
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu, Nusrat Hanje amechukua fomu kuomba uteuzi kwa ajili ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hanje amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi, Joshua Mbwana (kushoto)
Soma pia...
Wakuu,
Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki
==============================================
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat Hanje, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...