jimbo la mwanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  2. K

    CCM ondoeni dhuluma hii jimbo la Mwanga! Joseph Tadayo hajui majukumu ya mbunge wala kazi za kibunge

    Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika awamu ulopita. Mbunge wa Mwanga ndugu yangu Joseph Tadayo sio tu kuwa hajui majukumu ya Mbunge Bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…