jimbo la mlimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Huzuni! Mkutano wa mgombea ubunge jimbo la Mlimba kupitia NCCR MAGEUZI ni aibu tupu!

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kwa kupitia chama cha NCCR MAGEUZI Mhe Thomas Amas Mchiwa akiwa katika Mkutano wa kampeni kwa Wakazi wa Kotako Kata ya Mngeta leo tarehe 03/10/2025
  2. GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
  3. PreGE2025 Ziara ya No Reforms No Election yapiga Hodi Jimbo la Mlimba, tazama ubovu huu wa barabara

    Msafara wa makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche leo tarehe 5, June 2025 ukiwa tayari umewasili katika jimbo la Mlimba tayari kwa mikutano ya hadhara. Video Jambo TV
  4. LGE2024 Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

    Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu. Post ya Lema hii...
  5. Mbunge Kunambi: Baadhi ma RC na ma DC wanakamata wananchi bila sababu ya msingi

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi. Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo lake la Mlimba ambapo Mkuu wa Wilaya wa Kilombero tarehe 26 Agosti, 2024 Kata ya Mbingu kijiji cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…