jimbo la kivule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda. Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
  2. GE2025 Faustine Matiku achukua fomu ya kutia nia ubunge Kivule

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhandisi wa Mafuta na Petroli Fautine Matiku amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Temeke jijini Dar Es Salaam. Fomu hiyo ameichukua katika Ofisi ya CCM Ilala Dar Es Salaam
  3. PreGE2025 Naibu Meya wa Ilala, Dougras Massaburi, afafanua kuhusu tetesi za kugombea Kivule na kutoa Wito kwa Wana-CCM

    Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini kwa sasa nguvu amezielekeza kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Soma...
  4. PreGE2025 Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa kuwania Ubunge

    Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kivule, mchuano unatajwa kuwa utakuwa mkali wa Jimbo jipya la Kivule huku jina la Dougras Didas Masaburi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…