jimbo la kibamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Angellah Kairuki aahidi kutatua kero ya maji Jimbo la Kibamba

    Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anjelah Kairuki, ameahidi kutatua kero ya maji inayowakabili wananchi katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, ikiwemo Mpiji Magohe, Msigani na Mbezi Msumi. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Mbezi...
  2. GE2025 Profesa Kitila: Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama Samia yupo imara

    "Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila ‎Prof. Kitila ameeleza hayo Oktoba 09.2025, kwenye kongamano la dua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…