jimbo la chato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Wajumbe wampiga Dk. Kalemani kama mgombea jimbo la Chato, wamchagua Magembe

    Kalemani kaangushwa na Magembe, zama za nibebe zimeisha. Hongera Magembe
  2. M

    Watia nia kupitia CCM jimbo la chato kusini mmeanza kujinadi hapo stendi ya zamani,je huu ni utaratibu?

    Bado hamjapitishwa mnaanza kununulia watu kahawa na kuacha posho! Hapo kwenye kijiwe cha kahawa! Je, huu ni utaratibu? Juzi alikuwepo yule jamaa aliyewahi kuwa Katibu wizara ya ngawila. Jana alikuwepo aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mzee baba. Sasa kama mnaanza kampeni hata hamjapitishwa ...
  3. Jimbo la Chato kusini hatarini kudondoa mikononi mwa muhitimu wa darasa la 4 B

    CCM tumewachoka Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana. Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo. Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
  4. PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

    Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…