jimbo la arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Makonda: Mgambo wa jiji mjipange, sitokubali kuona wakinamama na vijana wananyanyaswa kwenye biashara zao

    Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi Tusubiri muda ufike tuone! ================ Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amesema kuwa...
  2. GE2025 Paul Makonda ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
  3. GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
  4. Kwahiyo mnataka kunambia Gambo habari ndo imeisha pale mjini Arusha na atakuwa nje ya dimba kwa miaka mitano ijayo?

    Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli . Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu . Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha. Ahaaaaa!!!!!! Najua hii habari ikiwa ni ya kweli basi bia zitaisha kwenye bar , maana watu...
  5. GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Haya sasa kumeanza kuchangamka sasa! Makonda huyooo!, huku ni kimzoom kwa mbali Mrisho Gambo ======================= Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kupata matukio na...
  6. PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  7. Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
  8. PreGE2025 Jimbo la Arusha Mjini sasa limekuwa kama Pombe ya Ngomani, Unanunua Wapambe wakuombe Ugombee Ubunge halafu unawakubalia, Imeisha

    Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari anacho cheo kingine ili agombee Ubunge! Huu ni udhalilishaji wa Wana Arusha waliokipigania chama chao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…