jikutech

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TEHAMA-BAHATI KAMA UKIPATA FOMULA MTAJI NI WEWE MWENYEWE

    Kila mtu ana maarifa kwa asili yake na kwa maisha yake mwenyewe , ila siyo kila mtu atakuthamini kutokana na maarifa uliyo nayo, mtu/watu wa/ajuaye kuhusu uzito,upana na undani wa maarifa yako ndio watakao/atakaye kuthamini kwa kiwango hicho hicho , wata kutazama kwa kiwango icho icho, wata...
  2. TEHAMA TANZANIA (IT)

    Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,, Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...
  3. Java na Control Statements / Akili ya Programu

    SEHEMU 4 ||||| Unataka kujifunza programming na uwe na uwezo wa kutengeneza programu mbalimbali? Java ni lugha bora ya kuanzia! Na sehemu muhimu sana ya Java ni Control Statements (Kauli za Udhibiti). Java ni lugha bora miungoni mwa lugha za programu , na sehemu muhimu sana katika java ni...
  4. Information Technology(IT-TEHAMA)-12 end

    MALENGO YA AU MAFANIKIO YA UJUZI WA PROGRAMMING Miongoni mwa malengo au mafanikio anayotarajia mtu anayejihusisha na programming ni kutengeneza programu za kompyuta kwa matakwa yake mbalimbali. Na ili utengeneze programu ya kompyuta lazima ujifunze lugha za programu kulingana na malengo yako...
  5. Information Technology(IT-TEHAMA)-11

    COMPILER NI NINI ?? Kwa lugha rahisi , compiler ni kama mtafsiri ambaye hubadilisha maelezo yaliyoandikwa katika lugha za programu ambazo sisi binadamu tunaelewa kam vile python, java, C++ na kubadilisha maelezo hayo kuwa lugha ambayo lugha inaweza kuelewa moja kwa moja (mashine language) ambayo...
  6. Information Technology(IT-TEHAMA)-10

    LUGHA ZA PROGRAMU Programu hizi zimeandikwa kwa kutumia lugha za programu. Hapa kuna baadhi ya lugha za programu. Python Java C++ JavaScript Ruby C# n.k Kwa kutumia lugha hizi programmer wanaweza kuwasiliana na kompyuta na kuipa maelekezo wanayotaka kompyuta ifanye , na kwa njia hii ya lugha...
  7. Information Technology(IT-TEHAMA)-09

    PROGRAMMING NI NINI? Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani. Mfano: unaweza kutumia lugha ya kompyuta kama vile java kuunda programu ambayo itafanya mahesabu ya kujumlisha...
  8. Information Technology(IT-TEHAMA)-08

    PROGRAMMING Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips. Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa...
  9. Information Technology(IT-TEHAMA)-07

    UFAHAMU KUHUSIANA NA SOFTWARE NA HARDWARE (KOMPYUTA SYSTEMS). Unapo zungumzia kompyuta kuachana na tafsiri yake halisi ina mifumo miwili mifumo ambayo ni software na hardware mifumo ambayo inawezesha utendaji wa kompyuta kwa ufanisi Vifaa vyote vya kushikika kwenye Kompyuta (physical...
  10. Information Technology(IT-TEHAMA)-06

    AINA ZA KOMPYUTA Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data Analogue Kompyuta Digital Kompyuta Hybrid Kompyuta Analogue Kompyuta Hizi ni kompyuta ambazo utendaji...
  11. Information Technology(IT-TEHAMA)-05

    AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka kutumia Kompyuta kwa matumizi madogo madogo kama vile kutuma barua pepe, kutumia mitandao ya...
  12. Information Technology(IT-TEHAMA)-04

    UMUHIMU WA KOMPYUTA SKILLS Katika kipindi hiki cha kidigitali, Ujuzi wa Kompyuta umekuwa ni muhimu sana ili kufanikiwa katika majukumu yaliyopo katika maeneo mbalimbali maishani. Maeneo hayo hususani kielimu, kazini na mambo binafsi Kompyuta na vifaa mbalimbali vya umeme vimeleta mapinduzi ya...
  13. Information Technology(IT-TEHAMA)-03

    NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo...
  14. Information Technology (IT-TEHAMA)-01

    UTANGULIZI JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu. TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huwakilisha teknolojia ya kompyuta na mitandao ya mawasiliano. Ili uendelee na...
  15. JIFUNZE INFORMATION TECHNOLOGY-(IT-TEHAMA)

    Jiku Tech Tips inajivunia kuwa mshirika wako katika safari yako ya kujifunza na kukuza ujuzi wa teknolojia. Kama Full Stack Developer mwenye uzoefu na Mkufunzi mtaalamu, Jiku Tech Tips imejitolea kukupa mafunzo bora na yenye tija katika ngazi zote: Ngazi ya Awali: Tunaweka msingi imara kwa...
  16. LEVEL ZA TEHAMA

    Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie kuongeza,kurekebisha na namna yoyote nzuri ya kwake. Karibu: TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya...
  17. Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…