jenister mhagama afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuwaongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho. Tarehe: 13.12.2025 Muda: Saa 6:30 Mchana Eneo: Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, Dodoma...
  2. TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe. Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…