Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), Brigedia Jenerali Effie Defrin, amesema katika mkutano na waandishi wa habari kuwa Jeshi la Anga la Israel leo limeishambulia kituo cha nyuklia cha Iran kilichopo karibu na Isfahan.
Isfahan sasa inaungana na Natanz katika orodha ya maeneo ya nyuklia...