Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko zanziber.
Muombeni msamaha Shujaa Ahoua.
Nawataka wote mumuombe radhi na msamaha kijana huyo,kwa...
Wanasimba,
Jean-Charles Ahoua ni mmoja wa wachezaji waliotupa sababu nyingi za kushangilia msimu huu, licha ya vyote amekuwa sehemu ya mafanikio yetu.
Kwa kosa moja lilitokea tunaweza kumsema vibaya leo, ila tukumbuke: hata mastaa wa dunia kama Fernando Torres waliwahi kukosa magoli ya wazi —...
Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7
Soma: Jean...
Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu.
Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...