Tokyo Japan
Wengi wetu tunawachukulia Wazungu kama watu wenye ustaarabu lakini sio kweli kama tunavyodhani.
Japan ina watu waliostaarabika kuliko wazungu na kwa mtu yoyote anayeijua Japan anaweza kunielewa.
Osaka, Japan
Wajapan wanazingatia usafi, ukimya, ustaarabu na wengi wao hujali mambo...