jangwani

Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchakato ujenzi barabara ya juu Jangwani waanza

    Meneja wa Wakala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius, alibainisha kuanza kwa mradi jana alipozungumza na Nipashe kuhusu suluhisho la adha inayoendelea kuwatesa watumiaji wa barabara hiyo hasa mvua inaponyesha kwa wingi na kusababisha Mto Msimbazi kukata mawasiliano ya barabara. “Kuna...
  2. J

    Wadau leo jangwani panapitika?

    Salaam kwenu wakuu. Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa? Mungu awabariki. Maendeleo hayana vyama!
  3. Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, tunawashauri wasafiri wetu kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza...
  4. Haya maneno ya mtangazaji wa Uhuru FM kwa wanafunzi wa Jangwani mnayaonaje?

    Lengo la uzi halipo kisiasa wala kuegemea au kushambulia upande wa chama chochote cha kisiasa. Leo nilikuwa nasikiliza redio stesheni ya Uhuru FM. Walikuwa wanahoji wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 shule ya Secondary Jangwani kuhusu "kwanini Magufuli miaka mitano mingine" Ila kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…