janeth mtiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Janeth Mtiba achukua fomu ubunge Tarime Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…