jamii ya wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masai ni ndugu zetu wa MILELE, wao kutochanganyika sana na makabila mengine kamwe haiwezi kuwafanya wawe mbali na sisi na kuchekea Uonevu wao

    Labda mlidhani itakuwa rahisi kuwafanyia uonevu kwakuwa ni moja ya kabila ambalo halijachanganyika sana na makabila mengine Tanzania. Huo ni ujinga na upumbavu kuwaza hivyo, hatukujenga nchi yetu kwenye misingi ya namna hiyo na hatuwezi ruhusu nchi iendeshwe kwenye misingi ya namna hiyo hata...
  2. Watanganyika tuamke usingizini, nchi imepigwa mnada tayari

    Moja kwa moja kwenye mada. Tukiendelea kukaa kimya na kufumba macho pamoja na kuziba masikio tunajidanganya. Sakata la Loliondo miaka ya 90 utawala wa Rais Ally Hassa Mwinyi uliwafurusha wamasai na kuwaweka waarabu, tukasema hayatuhusu. Ingawa wapo waliopaza sauti hadi kupoteza maisha. Heshima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…