jamal rwambow

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Jamal Rwambow: Askari ana Haki kukataa Amri Kinyume cha Sheria, hata ikitoka kwa mkubwa wake

    Aliyekua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jamal Rwambow ambaye kwa sasa ni mgombea Ubunge kupitia ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala amesema, “askari yeyote anayo haki ya kukataa kufuata maelekezo ya mtu yeyote hata kama ni mkubwa wake kama maelekezo hayo ni kinyume cha sheria.”
  2. GE2025 Jamal Rwambow: CCM ilichukua laki 5 yangu, wakasema sifai kugombea

    Aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Jamal Rwambow ambaye kwa sasa anagombea Ubunge wa chama Cha ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala ambaye amefunguka mengi sana. Soma > Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo
  3. GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

    Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho. =================== Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…