"Tunaendelea kushikiliwa katika eneo la mahojiano la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na @WMutunga na @Honeyfarsafi.
Tumeambiwa tu tusubiri afisa mwandamizi afike. Hatujapewa taarifa nyingine yoyote. Bado wanashikilia pasipoti zetu.
Huenda tukafukuzwa...