Habari wanajamii, Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo la Misugusugu, Kibaha. Karibu na kiwanda cha Lulu Cement kina ukubwa wa 400sqm (16m kwa 25m). Kipo katika eno ambalo limepimwa na kupangwa, pia eneo ni tambarare . Umbali kutoka Morogoro Road ni 2.7km bei ni Shilingi milioni nne (4million)...