Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana naWenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04, 2025 jijini Dar es...