Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Kwa sasa tunaoga vumbi kama maji 😔Watoto, wazee na wagonjwa tunaumwa...