Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza)...