Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...