ios1602

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania π—”π—£π—£π—Ÿπ—˜ π—žπ—¨π—§π—›π—œπ—•π—œπ—§π—œπ—¦π—›π—” π—žπ—”π— π—” π—£π—œπ—–π—›π—” π—¬π—”π—žπ—’ π—œπ— π—˜π—£π—œπ—šπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—œπ—£π—›π—’π—‘π—˜ 𝗔𝗨 π—”π—œ πŸ˜€πŸ˜€

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa β€œApple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🀯 Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  2. JamiiForums Tanzania Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2

    Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max. Siku chache zilizopita baadhi ya watumiaji walikuwa wanalalamika kamera ya iPhone 14 Pro ilikuwa inatikisika na kutoa kelele kwa ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…