Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa madai ya kuunganisha mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ni tishio kwa uhuru wa uchaguzi nchini Tanzania.
Akizungumza Jumatano Agosti 27, 2025...