idi amini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbukizi: Rais Idi Amin alipoanzisha Tume kuchunguza watu kupotea na kutekwa, ripoti haikuwahi kuwekwa hadharani!

    Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…