Ktk somo la itikadi (ideology).
Ideology imetokana na neno idea.
Na hakuna jambo lolote dunia ambalo chanzo si idea.
Je kuna itikadi au ktk itikadi mfano wa chama au Serikali ambao ni universal.
Kama Serikali ina itikadi,
Na dini ni itikadi.
Kwa kuzingatia ktk mfumo wa Kidemokrasia...