Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye mchezo wa soka.
"Sina budi kushukuru kikosi changu kwa kuweza kunisapoti kwa kila hatua. Nitaendelea...