Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji waliokamatwa kusomewa shtaka la uhaini.
Wakili Fulgence Massawe ni mkurugenzi wa utetezi na mageuzi...