The issue of human rights in Tanzania, a nation with a 2012 population of 44,928,923, is complex. In its 2013 Freedom in the World report, Freedom House declared the country "Partly Free".
LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku.
Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako kuhusu hali ya haki za binadamu nchini.
Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na...