Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo
Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine
Miezi mitatu bila mshahara...