Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko la usitishaji huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani na nchi jirani hapo kesho, hivyo huduma zipo kama kawaida kwa saa 24, hivyo wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za mtandao...