hoteli ya kitalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Yadaiwa Abdul and Company, amepewa eneo la mnada wa Karatu ajenge Hoteli ya kitalii, Mnada unahamishwa

    Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli. Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na...
  2. Serikali ya CCM na Changamoto za kushindwa kufufua Ujenzi wa Hoteli ya kitalii ya nyota Tano Kijiji cha Rubambagwe,Chato,Mkoa wa Geita

    Utangulizi Katika kipindi hiki, kuna masuala kadhaa yanayoonekana kuathiri juhudi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kusimamia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano inayojengwa katika Kijiji cha Rubambagwe, Chato. Mradi huu umewekwa kama moja ya ahadi muhimu katika ilani ya CCM ya...
  3. TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

    Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo zikiwemo za Burigi-Chato na ile ya Kisiwa cha Rubondo. Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…