hospital muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naamini hospital ya Muhimbili ilichangia baba yangu kufariki mapema

    Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study. Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi...
  2. JamiiForums Tanzania Kichocho+machine kuwa legelege +kukosa Hisia

    Bawasili ya ndani tba yake wakuu,
  3. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza huduma ya upandikizaji wa Ini ifikapo Mwaka 2025

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Shilingi Bilioni 600 kujenga upya Hospitali ya Muhimbili, Mkopo utalipwa baada ya miaka 25

    Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma. --- Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya. Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…