Kampuni ya Microsoft imesema juhudi za kurejesha huduma za barua pepe za Outlook baada ya hitilafu kubwa iliyowakumba watumiaji duniani kote hazijafanikiwa kama ilivyotarajiwa, huku ikiendelea kutafuta njia mbadala za kutatua tatizo hilo.
Hitilafu hiyo iliyodumu kwa saa kadhaa imeathiri huduma...