Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze.
Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa.
Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
Anonymous
Thread
chalinze
halmashauri
halmashauri ya chalinze
hatujapewapesayakujikimu
hela
hii
kero
kitu
kujikimu
labda
mara
pesapesayakujikimupesa za kujikimu
sio
tena
watumishi
wilaya