Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
Wakuu,
Mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri, Dkt. Wilbrod Peter Slaa, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Tanzania impatie dhamana akisubiri rufaa yake ya jinai kusikilizwa.
Ombi hili limewasilishwa chini ya hati ya dharura kubwa na wakili wake, Hekima Mwasipu, likieleza kuwa Dkt. Slaa amewekwa...