hassan kabeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Sheikh Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Siku ya Uchaguzi hakuna atakayebaki ndani, wote tutajitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wakuu, Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
  2. PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mapenzi ya jinsia moja!

    Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia "Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka huu, utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mbele yako...
  3. PreGE2025 Sheikh Mkuu BAKWATA Mwanza: Kauli yoyote inayoashiria kuvunja amani ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu tuikatae

    Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini, ambazo zinaweza kusababisha amani ya nchi kupotea. Sheikh Kabeke amesema hayo wakati wa mashindano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…