happiness seneda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe, Happiness Seneda achukua fomu kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita

    Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe Happiness Seneda Leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  2. PreGE2025 Happiness Seneda awaaga Watumishi wa Songwe, asema "Narudi nyumbani Geita kwenda kugombea Ubunge"

    Happiness Seneda ambaye alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe amewaaga Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kuweka wazi mipango yake ya kwenda kuwania Ubunge katika Jimbo la Geita. Seneda amesema anamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi hiyo ya Katibu Tawala na kwamba alikuwa mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…