Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo asubuhi wakikabiliwa na shtaka la kumteka nyara Mtanzania Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia...