Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba.
Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa.
Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa.
Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi.
Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...