hamisi taletale

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  2. PreGE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

    Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…