hakutakuwa na nywinywinywi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 CAF waandika: Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi, picha ya Msuva akishangilia goli

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi." Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya...
  2. GE2025 "Rais Samuya, hakutakuwa na Nywinywinywi". Kikwete alimuingiza chaka Rais Samia

    Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa...
  3. GE2025 Samia: Tumejipanga kulinda nchi hii wala hakutakuwa na vurugu siku ya uchaguzi

    Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu zozote wala chochote na kuwataka wananchi waende kupiga kura siku ya uchaguzi na kurudi Nyumbani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…