hakuna muuaji kama samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

    Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…