Wakuu,
Kuna elimu ya hela yote imetolewa hapa na Wakili Edson Kilatu kuhusu masuala ya maandamano
Wakili Edson Kilatu kupitia Wakili TV akiwa anaelimisha kuhusu namna sheria inavyosema juu ya maandamano, amesema hakuna sheria inayomtaka mwananchi kuomba kibali cha maandamano, bali kutoa...