Anaandika MUME (Phares Magesa):
Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi ukiacha chache chache sana za matukio muhimu au labda hata kwenye posts za mama yao pia labda baadhi...