Kuna mtu anajiona wa Hadhi ya juu sana.
Hata salamu yake naongea kama unamlazimisha hivi, sauti kama anabana pua zote pozi za kujiona na Hadhi ya juu.
Sasa, Leo Mchana Kuna mpangaji nimeambiwa na Dalali anaingia kwenye kibanda Changu.
Nikamwambia atume tu pesa mkataba nitampitishia...