Wakuu,
Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Huyu dada anaitwa Grace Saulo Mali yeye alishawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro na pia alishawahi kuwania ubunge wa Bunge wa Bunge la Afrika kupitia CCM
Naona hata huko miandaoni pia ni maarufu sana.
Huyu...