Aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Tendega, amesema kuwa licha ya kutoshinda katika kura za maoni, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa chama hicho na kushiriki kikamilifu katika kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...