Inauzwa ghorofa yenye vyumba vinne vyote master, sebule mbili (chini na juu), jiko kubwa, sehemu ya kulia chakula (dining), stoo na choo cha wageni.
Ipo Goba Lastanza, umbali wa mita 300 tu kutoka barabara ya lami.
Eneo lina ukubwa wa sqm 900 na lina hati miliki.
Bei ni milioni 550.
Piga au...